Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto Instagram – Generational Yas Talk sio tu jukwaa la kujifunza bidhaa na huduma za Yas bali pia ni jukwaa la kuunganisha vijana na mastori mob ya kitaa ili kuwainspire na kuwaongezea chachu ya kuendelea kupambana.

Episode hii ikitoka usipange kukosa, cha kufanya subscribe kwenye YouTube channel yetu na weka notification bell on ili usipitweeee

#GenYasTalk #MshirikaWakoWaKidijitali | Posted on 23/Dec/2025 16:00:41

Hamisa Mobetto
Hamisa Mobetto

Check out the latest gallery of Hamisa Mobetto