Meena Ally Instagram – Nilipata nafasi ya kuhost na Kulaunch bidhaa mpya ya @tvs.tanzania inayoitwa MFALME WAO!
Quality ni nzuri zaidi, na inaenda na mahitaji ya soko la Tanzania kwa sasa, Imagine siti ya dereva hadi ina kaseat ka pembeni kwa ajili ya kuride pale mbele badala ya kujibana tu na dereva 👏👏🔥
Hongera sana @tvs.tanzania @tvsmotorcompany kwa kutuletea Mfalme huyu 👊🏽 | Posted on 22/Sep/2025 13:20:57


