Phina Instagram – Kuna mwaka nilikuwa msichana wa miaka 8, kwenye tv redio ilikuwa inasikika sauti ambayo sikujua ingekuwa sehemu ya safari yangu.
Miaka ikaenda… nikaifanya kava kwa sauti yangu na mtu muhimu kwangu @enioluwaofficial 🤗
Akaitazama..
Akaipenda..
Na leo, nimekaa mbele yake mwenyewe, Bob Rudala.
Kuna furaha nyingine huwezi kuieleza… unaishia kutabasamu tu, ukijua muziki umetengeneza mduara wake.
Asante Legend kwa kunipa baraka zako, kwa kunisikia, na kwa kutupa kizazi hiki nafasi ya kulipa heshima kwa kazi yako @esrom656
#NimekuchaguaWewe❤️🎶 | Posted on 24/Nov/2025 16:00:58



