Zuchu

Zuchu Instagram – Jana ilikua moja kati siku nzuri sana za maisha Yangu .Sababu nilitimiza moja ya malengo yangu kwa kumnunulia mamaangu Gari Ya ndoto zake .wallahi kwangu mimi kama binti mpambanaji sio kitu kidogo .Haiko Raha ya dunia Kama Mama yako kufurahi ni hisia ambayo siwezi kuilelezea kwa maneno Alhamdulillah 🙏.Nawaombea watoto wote wenye wazazi wetu mwenyezi Mungu atupe na sisi nafasi ya kuwatimizia wazazi wetu Ndoto zao Amin .Namshukuru kwa dhati Mumewangu anamchamgo mkubwa kwenye kila ndoto yangu haniachi pekeangu Allah Akulipe kwa moyo mzuri Na aendelee kukuongezea unapotoa Amin 🙏 ❤️ @diamondplatnumz .

kipekee kabisa nawashukuru @troni_motors niliwatumia pesa bila ya kujua hata ofisi zao lakini mmekua waaminifu mmenichagulia Gari na Nilivyowaambia ni suprise Basi mmeifanya kwa ukubwa sana .Itoshe kusema jana Malkia Hajalala kwa Furaha .

ila @kiredio_ mie shabiki yako bana kazi unaifanya kijana 😂🙌🙌 | Posted on 14/Jan/2026 00:54:02

Zuchu
Zuchu

Check out the latest gallery of Zuchu