Aunt Ezekiel

Aunt Ezekiel Instagram – Morning…..🥰
Nimejiskia tuu kuja kuandika hapa….
Najipenda nilivyo Mama Najipenda nilivyo makini na Majukumu yangu Napenda kila kitu kilichobadilika kwangu kutoka kuwa Dada Aunty adi Mama….tena Sio Mama tuu!Ila Mama bora!
Kwa Majukumu haya Machache Niyafanyayo!

Kwa mfano!Kuamka Asubuhi kupeleka Mtoto Shule!jamn hii kazi 🤔 lakini nimefanya hvyo couse of my Baby
Nilikuwa natamani kuona Nampeleka mwenyewe
Angalau for 1month!

.
Yes Mm ni Mama Bora kwa Watoto Wangu am so Proud of my self!Kiukweli Sio wote wanaweza!
.
Ww je!Ni Mama bora!
Na kwanini Unahisi ww ni Mama Bora!!
MmniMamaBora🥰
Nb Mwanafunzi anaimba Mapenzi🤷‍♀️ | Posted on 08/Feb/2024 12:29:06

Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel

Check out the latest gallery of Aunt Ezekiel