HEBU NISAIDIENI KUTAG TEAM YANGU YA JANA ILIYOFANYA HAYA MAMBO! KUNA 50 YA VOCHA HAPA! MTUMEEEE🤦♀️ Shoga akee SeXBibi
NIMEKAA NIMETAFAKARI JAMAN ACHANA NA MTU ANAITWA (MAMA)😢
KESHO NTARUDI…..❤️
Morning…..🥰 Nimejiskia tuu kuja kuandika hapa…. Najipenda nilivyo Mama Najipenda nilivyo makini na Majukumu yangu Napenda kila kitu kilichobadilika kwangu kutoka kuwa Dada Aunty adi Mama….tena Sio Mama tuu!Ila Mama bora! Kwa Majukumu haya Machache Niyafanyayo! Kwa mfano!Kuamka Asubuhi kupeleka Mtoto Shule!jamn hii kazi 🤔 lakini nimefanya hvyo couse of my Baby Nilikuwa natamani kuona Nampeleka mwenyewe Angalau for 1month! . Yes Mm ni Mama Bora kwa Watoto Wangu am so Proud of my self!Kiukweli Sio wote wanaweza! . Ww je!Ni Mama bora! Na kwanini Unahisi ww ni Mama Bora!! MmniMamaBora🥰 Nb Mwanafunzi anaimba Mapenzi🤷♀️
Tunakoelekea tutapatwa na Dege dege na hizi Biashara.. @muruaofficial @muruaofficial Chombo Kipo kipo Live! Njoo chukua Natural body cream mpya kwa size kubwaa. Nipo ofisini njoo nikuhudumie mimi mwenyewe. Sema nipe ile ile kwa size kubwaa😄😀😁😃😃 CALL NOW 0752300068
GOOD MORNING frm Me an NONO…..🥰 KWA MAELEZO ZAIDI CALL NO 0752300068 @muruaofficial
JE!UMESHAWAHI KUISHI NA DADA ANAEKUSAIDIA MTOTO HADI MTOTO AKAKUWA AKAJUA YULE NDIO MAMAKEE!!! YAMEKUTA UKU MWENZENU! HII TUNAITAJE KITAALAMU JAMAN!😃 ILA MM NASKIA RAHA🥰 AHSANTE AUNTY MWANA KWA MALEZI MAZURI KWA CHIBABA MUNGU AKUBARIKI SANAA🙏❤️
Jitahidi kufanya Unachohisi kinakupa Furaha na sio Karaha!❤️ Maisha Mafupi Mno!
Unampenda Mtoto wa Mtu adi unajifunza Lugha yao Sasa hiki KISAMBAA Ntaongea na Nani mm!🥲 Hair by @bonita_saloon Shoes @steppy_point Pic @kenlaw_photography
GUD NAIT!😋
Eti Mnasemaaaaa……. Mkinisifia Sana naona Aibu mimi Apa🙈 MY TEAM Dress by MPUUZI MMOJA @designed_by_shuu Make Up by my best of the best @glorylasway orylaswai Nywele ya shoga ang @bonita_saloon Pic my baby @petefarasi9 Mmetishaaaaaaaaaa Mnoooooo🙌
Brown Akin gallll……❤️ Happy Vallentine my People🥰 Kuanzia Kesho MURUA Boss Kalewaaaa😃
Good Morning……Haya jaman kuna kiatu nilivaa juzi Kikali Mno Nimekipata kwa @steppy_point lakin shuu akafanya hakijaonekana 😃 Sasa basi ntakuja kukipost chenyewe tuu kabla Sijagombana na Shoga angu…..Kikali Sanaaaaaaa🥰 Thank u @steppy_point Mwaya ila ndio hvyo 😂 #backtobuisness Sasa😘
Kwenda Ndio Mtihani kurudi tutafatisha Nyayo! #Minyoosho😋 Thank u @martinkadindaofficial U are Best ila siku nyingine uniache nivae zang Kiswahi huu uzungu wako huu!🙌😄
Nawahasa Wateja wa @designed_by_shuu Msiwe na wasiwasi hicho Kiuno kinatengenezwa Ww ukija Bonge yy anakutoa Kipotabooo😂 @designed_by_shuu @designed_by_shuu U are Best my fureend
DAH!ILA MI MZURI BANA😋 Make Up ya @glorylasway
Yaah Mimi ni Mzuri bana…..😋 Nawasubiri Murua Njooni basi!😄
GOOD MORNING…..🥰 MOYO NA ROHO KWENYE PIC MOJA! Ahsante MUNGU WANGU Kwa hizi ZAWADI❤️ #COOKIE & #NOMAN🙏🥰
JIYAA JIYAA JIYAA Nakwambiaje!Umeshawahi kuangalia Tamthilia za Kitanzania!!! Kama YES!Ukiangalia JIYAA Lazma Utakataa Sio TANZANIA! UWIIIII . TUKUTANE SAA MOJA NA NUSU USIKU! JTATU HADI JTANO! NDANI YA @dstvtanzania Chanel No 160!

Happy New Month my People….. Mwenyezi Mungu akabariki kila hitaji la Moyo wako akafanye wepesi kwenye zito akaqeke Mkono kwenye kila ufanya likawe Sawa…..🙏❤️🥰
BEAUTY FASHION PORTRAIT Event Photography📸 .. . Natural Beauty…. . Melanin Queen @auntyezekiel . 💄 @glorylasway . 👗 @designed_by_shuu 🌹 . . Photography By Us. . . For Bookings Please Call Or Whatsapp Us ☎ 0657599202 . 📸ICONICSTUDIOS