ANAITWA ZARA BINT SALMIN HOZA! NI MZUNGU HUYU KUTOKA TANGA!😃🥰 UNAHISI HADI DK HII KAFANANA NA NANI!!!
Ahsanteni wote kwa Hongera zenu nimeona na nathamini😍 Huyu Bint bwana alieongezeka kwenye Familia yetu Anaitwa ZARA MAGOLD!😃 Ntakuja kuwaambia why Magold! Nawapenda Ijumaaa Kareem to All🙏❤️
MY FAMILY MY EVERYTHING….❤️
MY FAMILY MY EVERYTHING….❤️
MY FAMILY MY EVERYTHING….❤️
Baba Nono Naomba colabo plz nataka kurudi job😃 @_kusah_ Najua utakataa basi 🥹
YES SUT FOR DINNER😋❤️ Slide Uone mimi na Bi Magold tukitoka Kulala Tunavyofanana Niliwaambia Ntakonda mie…..😃 Note!Ni Mama watatu Now🥰❤️
YES SUT FOR DINNER😋❤️ Slide Uone mimi na Bi Magold tukitoka Kulala Tunavyofanana Niliwaambia Ntakonda mie…..😃 Note!Ni Mama watatu Now🥰❤️
Alhamdulillah🤲🙏❤️
POLENI SANA WATEJA WANGU LAKINI HUDUMA ZINAENDELEA KAMA KAWAIDA TUPIGIE 0752300068 . WA MCHEZO MAISHA MURUA CALL NO 0768265779
LIFE!!!🤔
Haka kanguo kana Damshisha sanaaa…. Naomba rangi nyingjne plzzz @mitandio_maresh KaMake Up ka @dida4glamm Sema wanyakyusa wazuri banaaa ona kama huyo daxa wa mwisho hapo @ericamwangomo ❤️
Ila #jp2025 Imejua kuleta Mambo…….🙌😃 Ma shuu wangu umetisha @designed_by_shuu
OFFER OFFER OFFER OFFER MLS 1000 TURMERIC KWA SH 40,000/= CALL NOW 0752300068
MAISHA MURUA ….. NJOO CHUKUA LAKI 600K KWA KUTOA KILA SIKU 5500/=TUU! GROUP IPO ON CALL NW 0768 265779 0761333899 065 278 1498
HAYA GROUP ILIYO ON NI 11,000/= KUPOKEA 1ML NA KESHO JIONI UNAANZA NAWAJUA NYIE WATU HAMJAWAHI KUNIANGUSHA!HAYA TWENDE TUJAZE HUU WA 11K JTATU TUNAFUNGUA 21K! CALL 0768 265779 0761333899 065 278 14988
KWA PRODUCT ZETU ZA MURUA CALL 0752300068 KWA MCHEZO WA MAISHA MURUA CALL 0768265779 My two peace by @mitandio_maresh
HAYA HAYAAA WATEJA WANGU NARUDIA TENA HUDUMA NI MUDA WOTE BADO TUNAKUPA HUDUMA POPOTE PALE TUPIGIE 0752300068! KIFUKO BWEREREEEE…… BADALA YA 300,000/= UTAKIPATA KWA 250,000/=TUU!
TUNAPATIKANA SINZA MAPAMBANO TUKO WAZI KUANZIA SAA 2 ASUBUHI TO SAA TATU USIKU! UMENIPENDELEA…..🙏❤️
Ep 02 itakuja very soon ❤️😊 Asanteni kwa mapokezi mazurii …. MWANGA NI WAKO 💡@maishanamurua @maishanamurua Link on bio endelea kujimulikia 🥂
MAWAKALA WANGU SIKILIZA KWA MAKINI HAPA THEN CALL ME!0752300068
IJUMAAA KAREEEM……. NGUO YANGU BY @mitandio_maresh . Usipitwe na hii FIRST EVER SALE ya @eugy_homecollections Vitu vyenu pendwa ndio viko sale ⬇️⬇️⬇️ SALE ITEMS; 1. Luxury DUVETS (5% off) – WAS 130,000 ❌ – NOW 123,500✅ 2. White bedsheets (10% off) – WAS 75,000 ❌ – NOW 67,500✅ 3. Fragrant sprays [ PILLOW MIST & ROOM LINEN SPRAY] (10% off) – WAS 40,000 (for 2)❌ – NOW 36,000 (for 2)✅ 4. Mashuka ya Pakistan (10% off) – WAS 65,000❌ – NOW 58,500✅ 5. Decorative pillows Pillow covers (20% off) – WAS 25,000 ❌ – NOW 20,000✅ SALE SALE Dates; 4th – 5th JULY (Friday & Saturday) UNAKOSAJE? Dm/📞 0753690006 to order 📍NJIRO COMMERCIAL CENTER, shop no 22 Google maps: 📍Eugy Home Collections 🚚📦 Delivery available mikoa yote
Usiangalie chochote angalia Rangi tu! Alafu Njoo chukua Set yako inakuwa ni Ileile lotion Usiku Asubuhi Organic Na serum tuu! CALL NW 0752300068
GOOD MORNING MY FAMILY🫠 . MURUA Herbal soap & Face cream Hizi product mbili zinatumika kama silaa ya haraka kwa chunusi za mara kwa mara na makovu yake. Murua soap: • Inatakatisha ngozi na kuifanya kuwa na muonekano wa rangi moja na safi • Inakausha chunusi/ vipele • Inatoa matango tango • Inaondoa makovu ya chunusi • Inakausha mafuta usoni Price: 10,000/ Murua Face Cream: • Inatakatisha ngozi • Inasafisha weusi chini ya macho • Inang’arisha ngozi • Inafuta madoa na makovu usoni Price: 35,000/ 📞0752300068