Achaneni na Nono…..kuna huyu alafu kuna Da Cookie nyie Mtanambia Nani kafunika!😅 #Rafiki😋 Soon 👑❤️
Week end for Family🥰 Mm naona hii Challenge ya Rafiki tufanye jitahidi Mpnz wako Akubebe Mgongoni! Na unamtag unaetaka Akulipe Mm yangu hii naomba Afanye @officialshilole na mpnz wake na @shamsaford na shem @mlilotz Plz…..😅😅😅😅 #Rafiki link kwa @_kusah_
Nimemiss Uswahili…..😂😂😂
Nimemiss Uswahili…..😂😂😂
Nimemiss Uswahili…..😂😂😂
Nimemiss Uswahili…..😂😂😂
Good Morning…..I miss Kanono Kangu haka!🥰 Hv ni mm tuu!Uwa kuna muda sitamani mtoto akuwe zaidi Napenda kukaona hvyo Nikabusuu weew😘🥰 Huyo Nono wa sasa hv Nikimkiss tuu Anafuta😟🥹 Tunafanyaje!!!
SHANGAZI YENU NIMEKUWA VIDEO QUEEN LEO!😂 ILA MAPENZI BWANA YOTE HAYA NA BADO ATANIACHA 🥹 Mnipambanie akiniacha plz😢 Link kwake @_kusah_
HAYA NYIE NDIO MTASEMA NANI KAFUNIKA! ILA COOKIE SIJUI KWASABABU MWENZANGU MZOEFU!🥲
FUNDI😋
Somebody Dota!❤️🥰 Sundayfree😇
SABUNI HII UNAWEZA KUMUOGESHEA MTOTO PIA HAINA KEMIKALI NI STREIT KUTOKA HOSP SO NI UHAKIKA AN MURUA GROWING SERUM YENYE SUN SCREEN NI KIBOKO KWA KUTUNZA NGOZI YAKO NYAKATI ZA MCHANA! CALL ME 0752300068
Hii nilisahau…..Anaitwa @designed_by_shuu Second Dress….🥰😋 #JP2025
Haya kwa Vitakoo gani jaman!!! Yaani kuna Muda huwezi ata kuelewa…..🥺 Ila Wanaume!!!🙌 Haya #Rafiki😋 link kwa @_kusah_
Wenye Tunapendana ❤️🎶 #RAFIKI OUT NOW Cc : @auntyezekiel 🥰
G9t ❤️❤️❤️
WALIOKOSA ORGANIC LAST WEEK TUSAMEHEANE JAMAN MAFUTA YAMEFIKA YAPO DUKANI NA BEI NI ILEILE ULIACHA PESA PLZ PIGA CM ILI KUKUMBUSHA JINA LAKO TUKUTUMIE!AHSANTE🥰 CALL 0752300068
WALIOKOSA HAYA MAFUTA YA ORGANIC!YAMEKUJA JAMAN FANYA KUFATA STAKI LAWAMA AU PIGA SIMU WAKULETEE ULIPO MANA HAYAKAI CALL NO 0752300068
MURUA Herbal soap & Serum Hizi product mbili zinatumika kama silaa ya haraka kwa chunusi za mara kwa mara na makovu yake. Murua soap: • Inatakatisha ngozi na kuifanya kuwa na muonekano wa rangi moja na safi • Inakausha chunusi/ vipele • Inatoa matango tango • Inaondoa makovu ya chunusi • Inakausha mafuta usoni Price: 10,000/ Murua serum: • Inatakatisha ngozi • Inasafisha weusi chini ya macho • Inang’arisha ngozi • Inafuta madoa na makovu usoni Price: 25,000/ 📞0752300068
SIKILIZA NI MUHIMU SANAAA…… TURMERIC KUBWA SH 50,000/= CALL NOW 0752300068
MURUA OINTMENT …. Inasaidia kutoa Utangotango Mapunye Ukoko Ngozi mbaya Miwasho Kwa kifupi Ugonjwa wa ngozi uliopo Nje ya Ngozi Ndani ya Siku 3 umekwisha Price :25,000/= Call Now 0752300068
Morning…..Guys🥰 MURUA ORGANIC OIL….YANAFAIDA NYINGI SANA Baadhi ya faida hizo ni:- 1. Yanaondoa muwasho katika ngozi 2. Yanaondoa makovu 3. Yanang’arisha ngozi kwa njia ya asili 4. Yananyoosha Misuli 5. Yanaondoa weusi katika mwili 6. Yanaondoa weusi Mapajani 7. Yanaondoa harufu mbaya ya jasho mwilini 8. Yanalainisha kabisa miguu kwa watu wenye magaga 9. Yanaondoa fangasi katika sehemu za siri na katika ngozi 10. Yanalinda na kurutubisha ngozi kwa kiasi kikubwa 11. Yanaondoa michirizi katika ngozi CALL NW 0752300068 @muruaofficial