Elizabeth Michael Instagram – Kwa kila uliyetenga muda wako kunitakia kheri ya siku yangu ya kuzaliwa…ASANTE HAITOSHI ila Ndio neno pekee linaloweza kuwakilisha kilichopo Moyoni kwangu..!
Nimeguswa na upendo wenu wa hali ya juu..!
Inshaallah ukawe mwaka wa kuendelea kufanywa WANONO kwenye kila sehemu ya maisha YETU SOTE ❤️
#29🎂🎉 | Posted on 17/Apr/2024 13:33:55



