POV ; This is what 29 LOOKS LIKE ✨ Ahsanteni kwa salamu na kheri za kumbukizi yangu ya kuzaliwa 🎂 (nawashukuru,nawathamini,nawapenda❤️) Blazer @dripbylizzy 💧 #finallapofmy20s
ROHO na MOYO kwenye picha Ya pamoja 🤭❤️
Kwa kila uliyetenga muda wako kunitakia kheri ya siku yangu ya kuzaliwa…ASANTE HAITOSHI ila Ndio neno pekee linaloweza kuwakilisha kilichopo Moyoni kwangu..! Nimeguswa na upendo wenu wa hali ya juu..! Inshaallah ukawe mwaka wa kuendelea kufanywa WANONO kwenye kila sehemu ya maisha YETU SOTE ❤️ #29🎂🎉

✨ ✨✨
✨ ✨✨
✨ ✨✨
✨ ✨✨
✨ ✨✨
💎💎💎
💎💎💎
💎💎💎
Too BUSY TO BE BAE 🤭 👗 @mahaumes 📸 @chizimapicha

Wiki ya Kopo na Mfuniko wake hii,Don’t dare Miss Jua Kali ☀️ Linawaka 🔥🔥🔥 . #KakaFulee #Maria JUA KALI ☀️ KILA JUMATANO-JUMAPILI NDANI YA @maishamagicbongo @dstvtanzania SAA 3:30 USIKU Cc @lamataleah @juakali_tamthilia

Kuonekana MJANJA sio UJANJA 🌚 Last slide 📌
Kitchen Party Gala 2024 💫
Kitchen Party Gala 2024 💫
Thanks for the laughs 💔 RIP Mr Ibu 🕯️
Nilivyo Busy kuangalia ONLINE 🌚 Kama Bado hujaangalia LINK iko Hapo juu kwenye BIO…usisahau ku LIKE na ku SUBSCRIBE ili uweze kupata taarifa zikifika Episodes mpya..! Episodes mpya zinatoka kila JUMANNE Saa 6:00 Usiku ❤️
Masaa machache kuelekea Episodes mpya za ONLINEEEE..! Mmeamshwaje!? Jamani eh …panapo majaaliwa sa 6:00 usiku wa leo EPISODE 10&11 zitakuwa hewani…hebu tuone kama kodi imepatikana 😂 Kama bado hujaangalia kabisa,jamani umepitwa 🤦♀️ila habari njema ni kwamba Bado unaweza kuangalia na tukaendelea pamoja Usiku wa leo…Gusa link hapo juu kwenye BIO yangu na itakupeleka moja kwa moja..! Usiache ku LIKE,COMMENT na ku SUBSCRIBE ili usipitwe tena na mambo mazuri..! (Au search YouTube jina ; ELIZABETH MICHAEL) ❤️ Tukutane ONLINE 💫💃