Dear Tanzania 🇹🇿 Samahani kwa kukuchukulia poa,samahani kwa kutothamini yale mazuri yote uliyotupa bila malipo yoyote…TUMEKUKOSEA NA TUMEKUFELISHA 😭 hatuna budi kukubali hivyo..! Katika yote,binafsi bado nina imani na wewe,najaribu kujishawishi kwamba pengine ulitaka kutupa funzo la kujua thamani ya yale yote tuliyoyaona ya kawaida sana….TUMEJIFUNZA (Japo kwa njia ngumu sana) ila TUMEJIFUNZA Kwa Mapenzi ya MUNGU,tupe nafasi nyingine…tuko tayari😭tumekukosea na tumejifunza kweli kila mmoja wetu kwa upande wake…bila kujali tofauti zetu za umri,elimu,itikadi n.k. Kwa Mapenzi ya MUNGU,tuwezeshe kuponya mioyo yetu kila mmoja sawasawa na majeraha yake,turudishie tena ule UPENDO,AMANI na MSHIKAMANO,turudishie ile ya familia moja ya kuweza kuwa na mitazamo tofauti lakini bado tukawa familia moja,ile familia yenye kuweza kukubaliana kutokukubaliana kwa hekima….na kama kwa mara nyingine tena kama itakubidi kutupa mafunzo (maana hatutaacha kujifunza) basi tuchagulie namna rafiki zaidi🙏 Wewe Ndo Asili,Nchi yetu,Ardhi yetu,kimbilio letu…umebeba historia zetu…umebeba baraka zetu na sio laana..! Nimetamani sana kukaa kimya,kujisahaulisha lakini nimegundua njia moja wapo ya kupona ni kukubali TUMEKUKOSEA na kurekebisha kuanzia sasa. Dear TANZANIA,tuombee rehema za MUNGU,huruma ya MUNGU lakini zaidi HEKIMA yake yenye kuzidi uwezo wetu wa kibinadamu 🇹🇿 ❤️
BUNGENI Bajeti ya Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa Na Michezo kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inawasilishwa na kujadiliwa leo. 👗 @mahaumes Hair @toobeautysalon

Usiku wa 3/10/2025 nilipata nafasi ya kushiriki mkesha wa kuabudu na kumsifu MUNGU (GRACE ENCOUNTER) Pongezi kwa mtumishi wa MUNGU @zoravo na waandaji wote,ROHO WA MUNGU alishuka na kutuhudumia kweli kweli 🙌tulipata wakati mzuri wa kumueleza MUNGU mahitaji yetu na zaidi kuliombea TAIFA LETU 🇹🇿 MUNGU azidi kuwatumia vyema kwaajili ya UFALME WAKE na kutuongoza wengine katika KUMJUA na KUMUAMINI yeye 🙏 Tunahitaji matamasha ya aina hii kwa wingi zaidi.! Skin/ 👄 @luminaskintz Hair/installation @toobeautysalon
Naanzaje kuzeeka na @luminaskintz wanavyonipambania hivi mtoto wa MIKAELI mie..?!???😂😂🙌 Elimu ya bure ; Kutumia vipodozi pekee kutakupa matokeo mazuri ila kutumia vipodozi na facials kutakupa matokeo bora zaidi.! @luminaskintz wanapatikana mwenge jengo la mwenge plaza 0794773344 na products zao utazipata hapo au kwa mawakala wake mikoa mbali mbali (check page yao kuona mawakala) ❤️
Rahisisha malezi na Furahia kila hatua ya ukuaji ya mtoto wako. Cheeky ni suluhisho la kudumu kwa changamoto zote za mtoto kuwashwa, daipa kujaa haraka, michubuko na vipele. Mwanao alianza kutumia Baby Cheeky Diaper akiwa na umri gani?Tujulishe kwenye comments👇🏼💬 #daipabora #babycheekydiaper #babydiaper #diapertanzania