Elizabeth Michael Instagram – Usiku wa 3/10/2025 nilipata nafasi ya kushiriki mkesha wa kuabudu na kumsifu MUNGU (GRACE ENCOUNTER)
Pongezi kwa mtumishi wa MUNGU @zoravo na waandaji wote,ROHO WA MUNGU alishuka na kutuhudumia kweli kweli 🙌tulipata wakati mzuri wa kumueleza MUNGU mahitaji yetu na zaidi kuliombea TAIFA LETU 🇹🇿
MUNGU azidi kuwatumia vyema kwaajili ya UFALME WAKE na kutuongoza wengine katika KUMJUA na KUMUAMINI yeye 🙏
Tunahitaji matamasha ya aina hii kwa wingi zaidi.!
Skin/ 👄 @luminaskintz
Hair/installation @toobeautysalon | Posted on 05/Oct/2025 14:33:08


