Happy birthday MUHAMALA wetu mkuu 🥰😂 (mtaelewa kwenye last slide) Kwa lugha rahisi tu wewe ni SALA ZANGU ZILIZOJIBIWA 🙏 Mw/Mungu akuongezee umri uliojaa mema ya rohoni na mwilini 🙏 Ahsante kwa kuwa Baba,Mume,Rafiki,business partner,Mubaba,danga au skia wewe ni MIHAMALA yote bwana 😂🤝na hatuwezi kuingilia MIHAMALA yako yote😭😂 Ishi sana ROLE MODEL…Nakupenda Mumewangu❤️ @majizzo
4 years later… @jizosound joined the crew 🔊 #4yearsanniversary❤️ #jizosound
Happy birthday in advance binti yangu GRACIOUS (07/12) & Happy belated birthday kijana wangu GENESIS (16/07) ❤️ Na hii ndio zawadi yangu kwenu kwa mwaka huu..Hatukufanya sherehe yoyote kwa kaka yako na hatutafanya sherehe yoyote kwako pia,hii mzoee mapema..sio mara zote mtapata vitu mnavyotaka au mlivyozoea. Lakini nimeona msikose hata zawadi ndogo…na hii ndio zawadi niliyoongozwa na roho wa MUNGU kuwapa kwa mwaka huu…nina imani kubwa siku mkipata uelewa mtaipenda na kuifurahia.! Mungu awakuze katika KIMO NA MAARIFA…uwepo wake usiwaache katika yote…mkue kuishi kusudi lenu…mkue kufanya yatakayo wapendeza wazazi,ndugu,jamaa ,jamii na zaidi yatakayompendeza MUNGU🙏 Kwa uongozi wa MUHIMBILI na staff wote wa wodi hii ;Ahsanteni sana kwa ushirikiano mlionipa mimi na team yangu,kuanzia kwenye kutupa majibu ya barua ya maombi ya ukarabati kwa haraka na kipindi chote cha ukarabati mpaka kukamilisha WODI HII YA UPENDO (ambayo kwasasa itatambulika kama ELİZABETH MICHAEL WARD) MUNGU awazidishie moyo huu na zaidi nashukuru sana kwa heshima mliyonipa ❤️🙏(Wodi hii ya NI WODI YA WATOTO WENYE SARATANI/CANCER) Kwa team yangu ya mafundi na msimazi wangu @happyntanga sina cha kuwalipa…mlijitoa sana na ndani ya muda mfupi wa wiki 1 na siku 1 tuliweza kukamilisha ukarabati wa WODI hii pamoja na PROCEDURE ROOM🙏MUNGU ninayemuamini asiwaache.! Kwa wazazi/walezi wa watoto hawa…Siku chache nilizoshinda hapo nimeona maumivu,kujitoa na jitihada zetu kwa watoto wenu…Naomba mjue MATUMBO YENU WAMEBEBA MAKUSUDI makubwa…mnapita tu kwenye moto wa kuwafanya wakomavu zaidi kwa baraka za huko mbele…tumeleta vitabu vya dini (zote)na vitu mbali mbali vya kidini vya kuwasaidia kuwa karibu zaidi na MUNGU…MAOMBI na IMANI yetu ni kuona mnapita tu sehemu hii na kutoka mkiwa na USHUHUDA na USHINDI mkuu,MUNGU AWAPE MIOYO YA SUBIRA NA KUAMINI KATIKA NJIA ZAKE🙏 #elizabethmichaelward❤️ #graciousbirthdayweek
Mapema leo tukiongozwa na Mh Raisi @samia_suluhu_hassan Katika mkutano wa watayarishaji wa filamu KOREA pamoja na wasanii na watayarishaji wa filamu kutoka TANZANIA..! 🇹🇿 Mengi tumejadili Lakini kubwa linalo tia matumaini ni jinsi gani RAISI wetu anatambua sanaa Kama eneo muhimu lenye kutoa AJIRA kwa vijana na Watu Wazima wengi na kutaka kuhakikisha eneo Hili linapata nguvu na kuweza kusimama Kama wenzetu walivyoweza kufanya hivyo..! Cc @ikulu_mawasiliano #mamakazini🇹🇿💪🏻

KUMRADHI …tutarudi tena show siku za hivi karibuni 🙏 😂ila ba’mtu @iam_khizzer 😂🤝 Jamani @luminaskintz inafaa kutumika na jinsia zote…ma’mtu Mpe ba mtu huduma ya SHINIKEYA….atoke kwenye kukutafutia sasampa akiwa mng’avu👌tafadhali usiache kumpaka SANKRINI wanapata shida sana juani kina ba’mtu kwaajili yetu 😭🥰 @luminaskintz @luminaskintz
Ewe mwanadada,kama unakutana na shida ya slide no 6 basi suluhisho ni @luminaskintz na slide no 7 🥰 Skin @luminaskintz 👄 @luminaskintz

T.I.M.E.L.E.S.S 🕰️ Skin @luminaskintz
T.I.M.E.L.E.S.S 🕰️ Skin @luminaskintz
T.I.M.E.L.E.S.S 🕰️ Skin @luminaskintz
T.I.M.E.L.E.S.S 🕰️ Skin @luminaskintz
T.I.M.E.L.E.S.S 🕰️ Skin @luminaskintz
T.I.M.E.L.E.S.S 🕰️ Skin @luminaskintz
T.I.M.E.L.E.S.S 🕰️ Skin @luminaskintz
Exclusive na @elizabethmichaelofficial unaweza kuitazama now kwenye #YouTube Channel ya #DozenSelection Link: Kwenye Bio