Elizabeth Michael Instagram – Mapema leo tukiongozwa na Mh Raisi @samia_suluhu_hassan Katika mkutano wa watayarishaji wa filamu KOREA pamoja na wasanii na watayarishaji wa filamu kutoka TANZANIA..! 🇹🇿
Mengi tumejadili Lakini kubwa linalo tia matumaini ni jinsi gani RAISI wetu anatambua sanaa Kama eneo muhimu lenye kutoa AJIRA kwa vijana na Watu Wazima wengi na kutaka kuhakikisha eneo Hili linapata nguvu na kuweza kusimama Kama wenzetu walivyoweza kufanya hivyo..!
Cc @ikulu_mawasiliano
#mamakazini🇹🇿💪🏻 | Posted on 01/Jun/2024 15:20:41



