Elizabeth Michael Instagram – Masaa machache kuelekea Episodes mpya za ONLINEEEE..!
Mmeamshwaje!?
Jamani eh …panapo majaaliwa sa 6:00 usiku wa leo EPISODE 10&11 zitakuwa hewani…hebu tuone kama kodi imepatikana 😂
Kama bado hujaangalia kabisa,jamani umepitwa 🤦♀️ila habari njema ni kwamba Bado unaweza kuangalia na tukaendelea pamoja Usiku wa leo…Gusa link hapo juu kwenye BIO yangu na itakupeleka moja kwa moja..!
Usiache ku LIKE,COMMENT na ku SUBSCRIBE ili usipitwe tena na mambo mazuri..!
(Au search YouTube jina ; ELIZABETH MICHAEL) ❤️
Tukutane ONLINE 💫💃 | Posted on 05/Mar/2024 13:31:03



