Aunt Ezekiel Instagram – Nikisema Nina watu Namaanisha jaman tena Watu wangu mana Unapendwa hadi unasema kwanini Mm….😢
.
Huyu Apa huyu Inno wangu SIMTAG Jaman DM Nyingi sanaaaa😅
Kiukweli ni Rafiki yangu wa Miaka mingi Mno Tumeishi kuanzia Wasichana na wavulana hadi Leo Wamama na Wababa Nafurahia sanaaUwepo wako kwenye Maisha yangu
Ww ni Maana kubwa ya KAKA RAFIKI Nakupenda Sana Burchard wang Ahsante kwa Zawadi nzuri🥰….DON’T SWIPE PLZ😋
#Escapadebirthdayweekend🥰 | Posted on 01/Nov/2023 01:13:10
Check out the latest gallery of Aunt Ezekiel



