PART 1…. HEBU SIKILIZENI HII STORY TOKA KWA NONO ALAFU TUSHAURIANE! ILA @_kusah_ 🤔
Nikisema Nina watu Namaanisha jaman tena Watu wangu mana Unapendwa hadi unasema kwanini Mm….😢 . Huyu Apa huyu Inno wangu SIMTAG Jaman DM Nyingi sanaaaa😅 Kiukweli ni Rafiki yangu wa Miaka mingi Mno Tumeishi kuanzia Wasichana na wavulana hadi Leo Wamama na Wababa Nafurahia sanaaUwepo wako kwenye Maisha yangu Ww ni Maana kubwa ya KAKA RAFIKI Nakupenda Sana Burchard wang Ahsante kwa Zawadi nzuri🥰….DON’T SWIPE PLZ😋 #Escapadebirthdayweekend🥰
Nikisema Nina watu Namaanisha jaman tena Watu wangu mana Unapendwa hadi unasema kwanini Mm….😢 . Huyu Apa huyu Inno wangu SIMTAG Jaman DM Nyingi sanaaaa😅 Kiukweli ni Rafiki yangu wa Miaka mingi Mno Tumeishi kuanzia Wasichana na wavulana hadi Leo Wamama na Wababa Nafurahia sanaaUwepo wako kwenye Maisha yangu Ww ni Maana kubwa ya KAKA RAFIKI Nakupenda Sana Burchard wang Ahsante kwa Zawadi nzuri🥰….DON’T SWIPE PLZ😋 #Escapadebirthdayweekend🥰
Happy fathers Day Anko K Wetu…..Inshallah Mwenyezi Mungu Akutunze na Kukuongezea Upendo na Familia yako kila iitwayo leo Ww ni Baba Bora na si Bora Baba!Alhamdulillah 🤲 Mm na Watoto…👨👩👧👦❤️🔥❤️ We Love u so Much❤️❤️❤️ @_kusah_ @_kusah_
Mm Nina Watu bana Nawapenda Mno😢 Pata Picha Msosi utakaotoka Hapa……😋 MaSex chef wenzangu😃 . #Escapadebirthdayweekend🥰 #lushotopazuri🥰
Ukialikwa Alikika Waite Wakali Wao! @designed_by_shuu Una Harusi Kitchen Party Umealikwa ww just Call her! Alafu Mwachie Yeye! @designed_by_shuu @designed_by_shuu 📸 My baby @petefarasi9
NA PARTY IKAANZA…..IT WAS 🔥🔥🔥 #Escapadebirthdayweekend🥰
PAJAMA PARTY!🥰 Tag them….. #partyyakiutuUzima #Escapadebirthdayweekend🥰
Nimejua kuwa napenda Shughuli.. • • Planner @martinkadindaofficial Sisi tunasemaje, we tupe mipango tu sisi tunatekeleza.. • • Vip pajama zetu… ● ● #Escapadebirthdayweekend🥰 #AuntCelebration
Thank u so Much wote MlioniWish Jaman kwa Wale ambao sijafanikiwa kujibu sio kama nimependa but zimekuwa nyingi na kunizidi Tusameheane Mm apa Nawapenda Wote❤ . My fine Dress frm ma Wii wang mm @loviee.collections follow Upate chako🥰 Bday Girl Mshweet🥰 #Escapadebirthdayweekend🥰
My World My Everything🥰❤️ #Cookie #Nono #nothinggonchangemylove😢
Melanin Queen ❤️ Make sure una Rangi Moja Mwili mzima! Skin @muruaofficial #melaninqueen👑
Na Muda si Muda tukaanza bana….😊 #sexChef #Escapadebirthdayweekend🥰
Niliwaambia Ndio kwanza Tunaanza 😃😃😃 Thank God NimeEnjoy sanaaaa Kiukweli…. Oyaaaaa White Party hilo Apo . Wee @martinkadindaofficial 🙌❤ Baby baby @petefarasi9 U are the best👌🏽 . Oyaaaaaa tuendeleee…..🥰 #Escapadebirthdayweekend🥰
NA HAO NDIO WALIKUWA WAPISHI WETU NDANI YA THE CLIFF . #Imagenchakulachao😋 #Escapadebirthdayweekend🥰 My babylove @dorochocolate1
LEO NIMECHOKA KUPIGA KELELE JAMAN😥 NAOMBA NIANZE WIKI KWA NEEMA NA HURUMA YA BW WETU YESU KRISTO! EZEKIEL 23.22 . UNASEMA:Kwasababu hyo Ewe Oholiba bw Mungu alisema hv Tazama nitawainua wapenzi wako juu yako ambao Roho yao Imefarakana nao nao nitawaleta Juu yako Pande zote!AMEN🙏 SIKU NJEMA❤️ . Niko Dukani hebu njoon Call no 0752300068
Nyie Sijamaliza kulikuwa na nyingine hyo ni WHITE PARTY ya Watu Wazima🤣🤣🤣 Hapo ni Zilipendwa tuu hamna Amapino! NimeEnjoy Sana kiukweli Nyie Washkaji zangu uwa Mnanipa Raha sana kila Mmoja kwa Wakati wake na hata kwa Pamoja najikuta Happy Muda wote…..😊 Nawapenda Sanaa❤ #Escapadebirthdayweekend🥰 #tagthem
Matukio yataendelea jaman Nawaambia tuu Niko DUKANI MURUA ….❤ . Nawasubiri Au Call No 0752300068 @muruaofficial #muruakwangoziyako👌😋
Cookie ananiita Mama Cookie Nono Ili Wapate wote Nono ananiita Mama Ant zekiiii😅 Ww je!!!
KAMA RAHISI KAFANYE NA WW SIBU SLIM NDIO MPANGO MZIMA! CALL NO 255749554596
Power❤ Nywele ya @bonita_saloon
Doro Wangu….Nakupenda❤ @dorochocolate1
Hakikisha Huna Rangi 2 plz…. Skin @muruaofficial Hair @bonita_saloon Pic by @kenlaw_photography