Aunt Ezekiel

Aunt Ezekiel Instagram – Kwanza kabisa Nataka kukupongeza anko T, umeweza Baby..@twalbu_hairstyles umeweza umeweza sana, wengi tumeshuhudia ukuaji wako mpaka sasa umefanikiwa kufungua your own beauty parlour… Hongera ni Kali Mno!Sasa mwanamke Nangai nataka kumshukuru Mkali wa hizi Kazi 24/7
@shuu designer Ni Mmoja tuu!
assignment kwa upande wangu naamini uliielewa vilivyo
Kutoka kwa @martinkadindaofficial Unyamwezi mwingi sana thank u baby🥰
Dress:@designed_by_shuu
Make up:@glorylasway
Hair : @glorylasway
Picture: @20r_touchez | Posted on 24/May/2024 22:18:59

Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel

Check out the latest gallery of Aunt Ezekiel