Ni Hv wataalamu wa Maisha kutoka Instargam kama Mmeingi juzi Ulizeni kwanza! Sawa Nimnunulie Kiwanja atapanda kiwanja kwenda Shule!!! Na kwa Taarifa Ndogo tuu Huyu ni MWENYE NYUMBA sio Kiwanja! Toka ana Mwaka 1…..Bday yake ya One year tuu Mm na Babakee tulibahatika kumjengea Nyumba KIGAMBONI!so Huko kashavuka! Happy Bday once Again Dada MWENYE NYUMBA NA GARI! COOKIE Anything for U my Sweetheart! Nakupenda Dada❤️❤️❤️ Its U are Day my Love!🥰
Kwanza Kabisa Niseme Ahsante MUNGU KWA ZAWADI HII Ya DADA COOKIE!😭❤️ Siwezi kuandika Vitu vingi lakini kikubwa ni kwamba Cookie Umekuwa faraja kubwa sana kwenye Maisha yangu Umekuwa chachu kubwa sana ya Mm Kuendelea kusaka Maisha kwa Nguvu kuna Muda uwa sioni faida ya Maisha naona poa tuu ila Mkinijia kichwani Watoto wangu Naamka na KUSALI Mwenyezi Mungu aniongeze japo Uhai kidogo Niwasogeze wanangu mana Najua DUNIA Sio Rafiki kabisaaa Najua nikiondoka hamtoweza Najua Mtakuwa ila Chamoto utakiona haswa ww mana ndio Dada🥰 . Kwenye hii siku yako Niseme tuu Nakupenda sana COOKIE WANG tulipotoka ni mbali Mabonde uko Mgongo raha uko Mgongoni Nachokusihi endelea kuwa Mtoto mzuri hvyohvyp dada Japo kuna Muda changamka kidogo dunia haitaki kuwa mpole zaidi utaonekana bwege! . Tatu hili gari jaman Sijampa kwa Maonyesho au kuwa nina Pesa sanaa HAPANA Tena HAPANA HAPANA HAPANA KABISA! Kilichotokea ni hv Cookie now ni CLASS 4 SO wanatakiwa kwenda shule saa 11 na Nusu Alfajiri School Bus inaanza kufata watoto Saa 12 kwahyo hawa ka nne na la Saba lazma wapelekwe na Wazazi wao! Sio kazi ngumu sana ila kutokana na Mazingira kwangu inakuwa Ngumu kuna Muda nakuwa shooting mara nachelewa kurudi Time nyingine Nasafiri kabisaa kwahyo nyumbani kunakuwa hamna namna zaidi ya watoto kufatwa na Bajaji kitendo cha Wanangu kupanda Bajaji uwa kinaniumiza Mno kwanza nakaa Porini sana na hizo story za mara mtoto kalawitiwa mara hv zilikuwa zinanichanganya mno wakitoka ile 11 silali nawaza tena haswa kipindi cha Mvua muda mwingine anatoa analia si unajua watoto tena basi Dah! Nikasema No way basi tukajichanga tukasema badala ya kumfanyia bday party acha tumtaftie kigari chake Apate na dereva ili hii Kero iishe! Thank God nilichowaza kimefanikiwa Mwenyewe alifurahi sana mana nilishampromise kuwa tutamnunulia Gari!ila hakujua lini! Happy Bday Dada Mkubwa Happy bday Chaupole wang Happy bday Roho yangu❤️ Yesu waletu aliye Hai akutunze Milele Mama🙏🥰 Mama Love u so Much my Sweetheart!❤️
My Family❤️ #Mymood😊😆😅
I LOVE U MAMA❤️ #cookiebdayweek🎂
Jibu nakuja nalo Usiku huu huu Nimewasogezea Make Up ili Mumjue vizuri na Hair!😋 Zawadi Dress an 100k Cash!
Jibu nakuja nalo Usiku huu huu Nimewasogezea Make Up ili Mumjue vizuri na Hair!😋 Zawadi Dress an 100k Cash!
Happy Bday Da Nicole Nakupenda Sanaa cha Upole wangu mm❤️ @kimoko26adui
DISCONET! MZIKI WA MAMA HONGERA SANAAA SHEM LAKE ULICHOKIFANYA NI HISTORY! MUNGU AKUBARIKI!ZAID NA ZAID @harmonize_tz . Leo atakaye Otea team nzima iliyonivalisha Nampa hii Nguo bure na 100,000/=tag Uwezavyo!
Mm jaman Nina Watoto Wanne nadhani wengi wanajua na wiki hii kwenye hekaheka zetu za week end tukanikuta tumeenda kulala sehemu ambayo tushawahi kwenda like 6years back! But this time tumekuja tukiwa tumeongezeka Ooooh was nice tulikumbuka mbali sana tukaona tufanye hyo Video ya pili tena tukiqa hvyo Jaman Nimekuza Ooooh 😭😭😭 Ahsante YESU lwajili ya hawa Wanangu Nawapenda Mno mno…..Mungu Nikuzie nikiwaona Inshallah🥰🥰🥰❤️❤️❤️
Dada Cookie nae Anatumia Organic Oil! Make Sure Unatucheck🥰 Call No 0752300068
Kwanza kabisa Nataka kukupongeza anko T, umeweza Baby..@twalbu_hairstyles umeweza umeweza sana, wengi tumeshuhudia ukuaji wako mpaka sasa umefanikiwa kufungua your own beauty parlour… Hongera ni Kali Mno!Sasa mwanamke Nangai nataka kumshukuru Mkali wa hizi Kazi 24/7 @shuu designer Ni Mmoja tuu! assignment kwa upande wangu naamini uliielewa vilivyo Kutoka kwa @martinkadindaofficial Unyamwezi mwingi sana thank u baby🥰 Dress:@designed_by_shuu Make up:@glorylasway Hair : @glorylasway Picture: @20r_touchez
TANGAZO AFANYE DA COOKIE PEKE AKEE HAIWEZEKANI😂 NONO KASEMA ANAOGEA MURUA SOAP! MTOTO AKIPATA HATA UPELE NJOO UNIDAI! INATOA…. VIPELE VYA JOTO HARARA MMBA MIWASHO NA VINGI! JUST CALL 0752300068! #Ilawasambaa😅
Kuna Muda unaamka kitandani hujui hata Mkate wa Asubuhi utatoka wapi!!!na huna kazi maalum ya kusema naenda kazini na hata kama una biashara hujui je!wateja watakuja Leo!!!jaman Sikia tuu kwa Mwenzio kulea familia ni kazi kubwa sanaaa for now haijalishi ww ni Single Mother au laah!Ila Mungu ana maajabu yake unaenda unahangaika Unapata Watoto wanakula na Maisha yanaenda! Ahsante Yesu kwa haya Maajabu unayoendelea kutenda kwangu kila iitwayo leo!Mana sijioni ningekuwa Wapi!na hivi SIJASOMA!!!😭😭😭 Ijumaa yako ikawe yenye kheri na Baraka tele ewe Mwanamke mwenzang unaeamka saa hii na kwenda kutafuta kwajilibya watoto wako bila kujua kama utapata au laah!Ukapate kwa wingi kwa Jina Yesu🙏❤️🩹 #ilovemybabysomuch🥰
❤️
❤️
❤️
Haya jaman nilikuwa Job kidogo Now ndio natoka Nlhapa tunashirikiana wote kumpata mshindi! Na Ukiacha hvyo habari njema nyingine ni kqamba ile nguo ya Gold tupu nayo niliyovaa Juzi Extra Vaganza Nampango wa kuigaqa Bure! Unajuabkwa nani na kwa Nini!!! Ntarudi After!🥰tag mshindi uwezavyo kabla hatujamtangaza!
Happy Mother’s Day kwa Mama wote Wapambanaji❤️ #Cookie #Nono
G9t jaman Asubuhi Namtangaza Mshindi!
JUST ME!❤️
Aunty Wangu ❤️ Mkiamka Mnakuta Nimetangaza Mshindi G9t😘
Good Morning Nangai…..😃 Haya another Day….😉
USIKOSE KUANGALIA JIYA KILA SIKU YA JTATU HADI JTANO SAA MOJA NA NUSU USIKU CHANEL 160 NDANI YA DSTV! . “HESHIMU MOYO WA MTU ANAEKUPENDA,MAISHA HAYATOKUPA MTU MZURI MARA MBILI” Ni Zam ya Mfale wa Boma” Si mwingine ila ni Dstv. @Jiya Series @Jiya Series @Jiya Series @maishamagicbongo @loulou_hassan @azizmohamedsharj @rashidyabdalla @zaramwangi @kidetejr @kidete_vision @obbykiwango @fahmi_mohamed7 @onorato_muyinga1 @salimmaru @abdulkarimdee @adobeokoye07 @shuunainah @tadeodavid_photocinema @masainyota3 @luckey_luckamo @officialstellambuge @gabozigamba @masai_nyeupe @v_pithia09 @shakeebrafique @nusrat_rafiquetz @farzanarafique @veekashera @rukhsaar_varda @jiya_patel_jiyaseries @_bistar @shamsaford @auntyezekiel @arafatpapati @akilthebraintz @Arwapatel2024 @lilboytrey542 @masai_entertainment @richiemtambalike
UNA RANGI MBILI MWILINI MWAKO!!! UTANGOTANGO HARARA MABAKA HII INAITWA OINTMENT SH 25,000/= CALL NOW 0752300068