Aunt Ezekiel

Aunt Ezekiel Instagram – Kuna Muda unaamka kitandani hujui hata Mkate wa Asubuhi utatoka wapi!!!na huna kazi maalum ya kusema naenda kazini na hata kama una biashara hujui je!wateja watakuja Leo!!!jaman Sikia tuu kwa Mwenzio kulea familia ni kazi kubwa sanaaa for now haijalishi ww ni Single Mother au laah!Ila Mungu ana maajabu yake unaenda unahangaika Unapata Watoto wanakula na Maisha yanaenda!
Ahsante Yesu kwa haya Maajabu unayoendelea kutenda kwangu kila iitwayo leo!Mana sijioni ningekuwa Wapi!na hivi SIJASOMA!!!😭😭😭
Ijumaa yako ikawe yenye kheri na Baraka tele ewe Mwanamke mwenzang unaeamka saa hii na kwenda kutafuta kwajilibya watoto wako bila kujua kama utapata au laah!Ukapate kwa wingi kwa Jina Yesu🙏❤️‍🩹
#ilovemybabysomuch🥰 | Posted on 31/May/2024 11:49:32

Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel

Check out the latest gallery of Aunt Ezekiel