Aunt Ezekiel

Aunt Ezekiel Instagram – Ni Hv wataalamu wa Maisha kutoka Instargam kama Mmeingi juzi Ulizeni kwanza!
Sawa Nimnunulie Kiwanja atapanda kiwanja kwenda Shule!!!
Na kwa Taarifa Ndogo tuu Huyu ni MWENYE NYUMBA sio Kiwanja! Toka ana Mwaka 1…..Bday yake ya One year tuu Mm na Babakee tulibahatika kumjengea Nyumba KIGAMBONI!so Huko kashavuka!
Happy Bday once Again Dada MWENYE NYUMBA NA GARI!
COOKIE Anything for U my Sweetheart!
Nakupenda Dadaā¤ļøā¤ļøā¤ļø
Its U are Day my Love!🄰 | Posted on 21/May/2024 15:06:10

Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel

Check out the latest gallery of Aunt Ezekiel