Yvonne Cherrie Instagram – Kigamboni nao wanufaika na Azam Wheat Flour Clean Energy Campaign.
Mapema siku ya leo timu yetu ya Masoko ilitembelea soko la Kigamboni Ferry na kuwahamasisha Mamalishe kuendelea kutumia nishati safi ya kupikia pamoja na kugawa majiko 55 yanayotumia nishati safi ya Ethanol.
Kampeni hii endelevu inaunga mkono juhudi za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa watumiaji wote wa Unga wa ngano wa Azam hasa Mamalishe nchi nzima.
@officialbakhresagroup | Posted on 22/Nov/2024 22:09:50


