Leo kwenye Power Bank tutakuwa na mwigizaji ambaye pia ni mwandaaji wa tuzo za WISAC @monalisatz Kipindi cha Power Bank huwa hewani kuanzia saa 3:00 hadi 5:00. Atakuwepo @mckisoli @stanslauslambat @bru_nide @arnoldphilimon na @djkiss_star . Tutakuwa live kwenye YouTube ya Bongo FM na unaweza kutusikiliza kupitia Radio Box na Radio Garden. #bongofm #hatuazabimkubwa #bongofmdigital #pikakijanja
Kigamboni nao wanufaika na Azam Wheat Flour Clean Energy Campaign. Mapema siku ya leo timu yetu ya Masoko ilitembelea soko la Kigamboni Ferry na kuwahamasisha Mamalishe kuendelea kutumia nishati safi ya kupikia pamoja na kugawa majiko 55 yanayotumia nishati safi ya Ethanol. Kampeni hii endelevu inaunga mkono juhudi za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa watumiaji wote wa Unga wa ngano wa Azam hasa Mamalishe nchi nzima. @officialbakhresagroup
MWISHO WA KUPIGA KURA NI KESHO TAREHE 23.11.2024 @mwafrikaasilia #wisacawards2024
Kutana na mshindi wa WISAC 2023 kipengele cha OUTSTANDING PHOTOGRAPHER Nainkwa Art @nainkwaart Nani atashinda tuzo hii mwaka huu? Tukutane tarehe 29 Novemba Tuzo hizi zitakuwa mubashara kupitia @sinemazetuhd
Bakhresa Group inatoa pole kwa wahanga wote wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa lililokuwa mtaa wa Mchikichi, Kariakoo, Dar es salaam iliyotokea tarehe 16/11/2024. @officialbakhresagroup