SIMBA hii unaifungajeeeeeee, itikia kwa sauti ya Harmonize 😂😂
Yaani tulimpigia simu tukamwambia tuna kamzigo tumeagizwa tukalete plz tunaomba tukukute 😂😂😂🙌🙌🙌. Ila kuna kitu kikubwa nimejifunza kwa huyu dada ,yupo low key sana, very humble pamoja na umaarufu wa miaka kibao ila hana kabisa mashauzi , maana Alitupokea vzr utasema tunajuana miaka kumbe ndio pale tunamuona@live kwa mara ya kwanza 😂😂😂🙌🙌🙌 Thank you @monalisatz
LEO, Yanga SC wapo dimba la Benjamin Mkapa wakikipiga na MC Algers, mechi ya mwisho hatua ya makundi Wanachi wanaingia katika mchezo huu wakichagizwa na kauli yao Gusa Achia Twende Robo Fainali, kwani wanataka ushindi ili kutinga hatua ya robo fainali. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu. #CAFCL #YangaSC #MC Algers
Hatua ya 16 bora CRDB Bank Federation Cup Leo Saa 10:00 jioni, Mnyama Simba SC atakuwa dimba la KMC Complex akiwakaribisha Bigman FC. Je, mnyama kutinga robo fainali kwa kishindo ama kukutana na Surprise? Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #SimbaSC #BigManFC
Jioni ya jana katika Tuzo za Viwanda kwa Wanawake wajasiriamali Tanzania msimu wa 5, zinazoratibiwa na TWCC (Tanzania Women Chamber of Commerce) Hakika ulikuwa usiku mzuri, tulijifunza, tukafurahi, tukashiba na kupata nafasi ya kufahamiana na wanawake wengine. Kazi nzuri sana inafanywa na Twcc katika kuunganisha wanawake wafanyabiashara wa Tanzania chini ya Rais wa Twcc, mama yangu CPA MERCY SILA.
❤️❤️ @zahirzorro
LEO katika NBC Premier League inapigwa Mzizima Derby. Simba SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha AzamFC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Je, Mnyama kuendelea kukusanya alama tatu ama kupunguzwa kasi na matajiri wa Chamazi? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
Le Male Le Parfum, a scent that speaks sophistication and confidence ✅main accords warm spicy vanilla lavender aromatic powdery iris woody amber violet Get it now @originalbrand.perfume @originalbrand.perfume ✨125ML @550,000Tsh Samples available in 5ML & 10ML 📍 Location. Sinza Mapambano , dar es salaam Tanzania. ✨To order: 255 759 660 308 ( calls/ WhatsApp) ✨Safe and fast delivery & all over AFRICA . . . . . . . #tunanukia #scent #originalbrand #shopping #online #perfume #perfumecollection #perfumelovers #cosmetics
LEO, mchezaji wa soka kutoka Tanzania, Aisha Masaka akiwa na timu yake ya Brighton watakuwa ugenini kucheza na Liverpool katika mchezo wa Women Super League Mechi hii itapigwa kuanzia saa 4:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD. #WSL #Azamtvsport @azamtvtz
NBC Premier League leo Jumanne. Saa 8:00 mchana Singida BS watakuwa nyumbani uwanja wa CCM Liti wakiwakaribisha KenGold Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa KMC Complex wakiwaalika JKT Tanzania. Je, Mnyama ataendelea kugawa dozi ama atapigwisha kwata na maafande? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unataza michezo hii. #NBCPL #Azamtvsport #Azamtvmaxapp
NBC Premier League leo Ijumaa Saa 1:00 usiku, Namungo FC watakuwa nyumbani uwanja wa Majaliwa wakiwakaribisha JKT Tanzania. Namungo wanaingia katika mchezo huu wakitoka kupata ushindi mchezo uliopita wakati JKT walipata sare. Je, wauaji wa Kusini kuendelea kukusanya alama ama watapigishwa kwata na JKT Tanzania? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama NBCPL mbashara kupitia AzamSports1HD. #SisiNiSoka #Azamtvsports #NBCPL
Niliwaambia nataka CAKE kubwa na nzuri kwa ajili ya IBADA YA SHUKRAN kwa ajili ya miaka 90 ya bibi yangu, ikafika. Kila mtu alikuwa WOW! Cake ilikuwa kubwa sana, tamu sana na ubunifu wa hali ya juu. Shukran kwa @kismart_cakes 📞0756310310 na 0743311311 #BetaBakeryWeProduceWhatYouCanEat
Msukuma wa Makeup ni mmoja tu! 2024 OUTSTANDING MAKEUP ARTIST @jesca_beautyzone #wisacawards2024
Leymax umetisha sana. Ahsante kwa zawadi ya cake tamu na ya ubunifu. @leymaxcakes WISAC 2024 Outstanding Female Baker #wisacawards2024 @mwafrikaasilia
ZAI KIJIWENONGWA ndiye Chaguo la watu 2024. Hongera sana Zai, endelea kutupigisha mastori ya kijiwenongwa, yanatuchangamsha. @zai_kijiwenongwa @monalisatz @sinemazetuhd
CAF AWARDS LEO, Shirikisho la Soka Barani Afrika, CAF kutoa tuzo kwa wachezaji waliofsnya vizuri mwaka 2024 . Tuzo hizi zitaruka mbashara AzamSports2HD kuanzia saa 3:00 usiku. #CAFAwards2024 #Azamtvsports
KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA LEO, saa 10:00 jioni mnyama, SIMBA SC atakuwa nyumbani dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha CS SFAXIEN kutoka Tunisia, mechi Kundi A. Mechi hii itapigwa saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mechi hii. #CAFCC #SimbaSC #Cssfaxien
2024 OUTSTANDING FASHION DESIGNER @anna____collections alivyoipokea tuzo yake. Hongera sana Anna, wewe ni mwanamke na nusu @mwafrikaasilia #wisacawards2024