Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League leo Ijumaa

Saa 1:00 usiku, Namungo FC watakuwa nyumbani uwanja wa Majaliwa wakiwakaribisha JKT Tanzania.

Namungo wanaingia katika mchezo huu wakitoka kupata ushindi mchezo uliopita wakati JKT walipata sare.

Je, wauaji wa Kusini kuendelea kukusanya alama ama watapigishwa kwata na JKT Tanzania?

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama NBCPL mbashara kupitia AzamSports1HD.

#SisiNiSoka #Azamtvsports #NBCPL | Posted on 20/Dec/2024 11:38:43

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie