Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League leo Jumanne.
Saa 8:00 mchana Singida BS watakuwa nyumbani uwanja wa CCM Liti wakiwakaribisha KenGold
Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa KMC Complex wakiwaalika JKT Tanzania.
Je, Mnyama ataendelea kugawa dozi ama atapigwisha kwata na maafande?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unataza michezo hii.
#NBCPL #Azamtvsport #Azamtvmaxapp | Posted on 24/Dec/2024 12:53:03



