Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – Niliwaambia nataka CAKE kubwa na nzuri kwa ajili ya IBADA YA SHUKRAN kwa ajili ya miaka 90 ya bibi yangu, ikafika. Kila mtu alikuwa WOW!

Cake ilikuwa kubwa sana, tamu sana na ubunifu wa hali ya juu.

Shukran kwa @kismart_cakes
📞0756310310 na 0743311311
#BetaBakeryWeProduceWhatYouCanEat | Posted on 19/Dec/2024 14:59:50

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie