Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – Jioni ya jana katika Tuzo za Viwanda kwa Wanawake wajasiriamali Tanzania msimu wa 5, zinazoratibiwa na TWCC (Tanzania Women Chamber of Commerce)

Hakika ulikuwa usiku mzuri, tulijifunza, tukafurahi, tukashiba na kupata nafasi ya kufahamiana na wanawake wengine.

Kazi nzuri sana inafanywa na Twcc katika kuunganisha wanawake wafanyabiashara wa Tanzania chini ya Rais wa Twcc, mama yangu CPA MERCY SILA. | Posted on 27/Mar/2025 14:48:37

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie