Yvonne Cherrie Instagram – LEO katika NBC Premier League inapigwa Mzizima Derby.
Simba SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha AzamFC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Je, Mnyama kuendelea kukusanya alama tatu ama kupunguzwa kasi na matajiri wa Chamazi?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu. | Posted on 24/Feb/2025 13:33:15



