Yvonne Cherrie Instagram – LEO, Yanga SC wapo dimba la Benjamin Mkapa wakikipiga na MC Algers, mechi ya mwisho hatua ya makundi
Wanachi wanaingia katika mchezo huu wakichagizwa na kauli yao Gusa Achia Twende Robo Fainali, kwani wanataka ushindi ili kutinga hatua ya robo fainali.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#CAFCL #YangaSC #MC Algers | Posted on 18/Jan/2025 11:46:23