Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – LEO, mchezaji wa soka kutoka Tanzania, Aisha Masaka akiwa na timu yake ya Brighton watakuwa ugenini kucheza na Liverpool katika mchezo wa Women Super League

Mechi hii itapigwa kuanzia saa 4:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.

#WSL #Azamtvsport

@azamtvtz | Posted on 17/Jan/2025 13:49:25

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie