Mark 8:38, “For whoever is ashamed of me and of my words in this adulterous and sinful generation, of him will the Son of Man also be ashamed when he comes in the glory of his Father with the holy angels.”
Ila @monalisatz ulipendeza sana . Hongera sana @venny.catering Kwa chakula kizurii ….#Asantekwakutuamini .
Karibu March! Mwezi mpya, mwanzo mpya, na fursa mpya. Na ukawe mwezi wa baraka, mafanikio, na furaha kwetu sote. #march
Bi Mona na babu Mahsein kwenye ubora wao. @mcdrcheni
Bi Mona na babu Mahsein kwenye ubora wao. @mcdrcheni
Wanaitwa Kibondo Green Farm @kibondogreenfarm, ni wakulima na wasambazaji wa parachichi aina ya HASS. Parachcichi hili limezoeleka kuuzwa nje ya nchi tu lakini kwasasa limeingia sokoni Dar es salaam kutoka shambani Kibondo Kigoma. Na uzuri ni kwamba unaweza kulihifadhi kwa wiki mbili bila kuharibika. Deliverry ipo popote ulipo kwa bei nafuu 19,000/= tu kwa box zima kama hili langu. Wapigie 0765 628 429
KIWASHEE MAPEMA Saa 6:30 usiku kuamkia kesho Taifa Stars watakuwa dimbani dhidi ya Morocco kufuzu Kombe la Dunia 2026! Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa anakipiga na Bigman huku mabingwa watetezi Yanga SC akiwakaribisha Songea United. LALIGA, FC Barcelona watakuwa nyumbani Camp Nou wakiwakaribisha Osasuna, katika mechi ya mzunguko wa kwanza Osasuna akiwa nyumbani alimpasua Barc chuma nne kwa moja. Je, Hans Flick na vijana wake watalipa kisasi ama kuchapika tena? Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #Wikiyamoto #FCBarcelona #SimbaSC #YangaSC #RealMadrid
Tamu sana kwakweli. @kibondogreenfarm
LEO Singida BS itakuwa inazindua uwanja wake mpya Airtel Stadium, katika kusindikiza uzinduzi huu watacheza mechi ya kirafiki na wananchi Yanga SC. Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara AzamSports1HD. #SingidaBS #YangaSC
HUBA HURU. @cloudsfmtz
HUBA HURU. @cloudsfmtz
HUBA HURU. @cloudsfmtz
HUBA HURU. @cloudsfmtz
Katika kuhakikisha wanaendelea kuwa fit, AzamFC na KMC leo kucheza mechi ya kirafiki katika dimba la Azam Complex. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 3:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD. #AzamFC #KMCFC
Mkazi wa Chanika na viunga vyake, Alhamis hii, Machi 20, AzamTV inakukaribisha katika uzinduzi wa mgodi wake mpya unaopatikana eneo la Hostel. Katika Mgodi huu mauzo ya visimbuzi kufanyika, visimbuzi vya Dish na Antena kupatikana, matengenezo kwa visimbuzi vyenye hitilafu na AzamTV Max App. Uzinduzi huu kuanzia saa 4:00 asubuhi. #AzamTVBurudaniKwaWote
NBC Premier League leo Ijumaa Saa 10:00 jioni, Tabora United, watakuwa dimba la CCM Kirumba wakicheza na JKT Tanzania. Saa 12:15 jioni, Kagera Sugar watakuwa dimba la Kaitaba wakiwaalika Pamba Jiji. Hii ni derby ya Kanda ya Ziwa. Saa 2:30 usiku, Dodoma Jiji kukipiga na Coastal Union. Katika msimamo Dodoma Jiji wapo nafasi ya nane wakiwa na alama 26, Coastal Union wapo nafasi ya tisa na alama 24. Je, ni Dodoma ama Coastal nani kuongeza mtaji wa alama na kuhama nafasi? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsports
Simulizi ya NABII YUSUF.. Kila siku saa moja kamili usiku. Kupitia ZBC 2 @azamtvtz
NBC Premier League leo Jumatano Saa 10:00 jioni, Kengold watakuwa dimba la nyumbani Sokoine wakiwakaribisha Mashujaa FC kutoka Kigoma. Ni wachimba dhahabu ama wazee wa mapigo na mwendo nani kuondoka na alama tatu? Mchezo huu utaruka mbashara AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsport
Tunashukuru kwa kuwa sehemu ya maisha yenu. Katika mwezi huu wa Ramadhani, Bakhresa Group tunawatakia afya njema, amani, na baraka tele. Ramadhani Kareem! @officialbakhresagroup
NBC Premier League Homa ya pambano la watani wa jadi inazidi kupanda ni Jumamsoi hii, Machi 08, 2025 Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Simba SC. Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 1:15 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Je, ni wananchi ama wekundu wa msimbazi nani kulala mapema? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu, mapema lipia kifurushi chako ili usipitwe na mechi hii ya msimu. #KariakooDerby #NBCPL #Azamtvsport
Jumamosi hii Machi 08, katika dimba la Benjamin Mkapa itapigwa Kariakoo Derby. Wananchi Yanga SC kumkaribisha Mnyama Simba SC. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:15 usiku, na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo, mapema lipia kifurushi cha kisimbuzi chako ili usipitwe na mechi hii. #SimbaSC #YangaSC #azamtvsport
NBC Premier League leo Jumamosi Saa 10:00 jioni, Coastal Union watakuwa dimba la Sheikh Amri Abeid wakiwakaribisha Simba SC. Katika mechi ya mzunguko wa kwanza Simba na Coastal walipokutana walitoka sare ya 2 – 2. Je, leo nani kuondoka na alama tatu? Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsport
NBC Premier League leo Ijumaa Saa 8:00 mchana, Tabora United watakuwa nyumbani uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakiwakaribisha Dodoma Jiji. Saa 10:15 jioni, Pamba Jiji watakuwa dimba la nyumbani CCM Kirumba wakiwaalika Wananchi Yanga SC. Je, Wananchi watachukua alama tatu na kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo ama watakwaa kisiki kwa TP Lindanda? Michezo hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsports
Jumapili hii katika Ligi Kuu Soka nchini Kenya itapigwa Mashemeji Derby, AFC Leopards kucheza na Gor Mahia FC. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu. #AFCLeopards #Gormahia #Azamtvsport