Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League
Homa ya pambano la watani wa jadi inazidi kupanda ni Jumamsoi hii, Machi 08, 2025
Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Simba SC.
Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 1:15 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Je, ni wananchi ama wekundu wa msimbazi nani kulala mapema?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu, mapema lipia kifurushi chako ili usipitwe na mechi hii ya msimu.
#KariakooDerby #NBCPL #Azamtvsport | Posted on 04/Mar/2025 15:52:58



