Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – Jumamosi hii Machi 08, katika dimba la Benjamin Mkapa itapigwa Kariakoo Derby.

Wananchi Yanga SC kumkaribisha Mnyama Simba SC.

Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:15 usiku, na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo, mapema lipia kifurushi cha kisimbuzi chako ili usipitwe na mechi hii.

#SimbaSC #YangaSC #azamtvsport | Posted on 03/Mar/2025 13:52:42

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie