Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League leo Jumamosi
Saa 10:00 jioni, Coastal Union watakuwa dimba la Sheikh Amri Abeid wakiwakaribisha Simba SC.
Katika mechi ya mzunguko wa kwanza Simba na Coastal walipokutana walitoka sare ya 2 – 2.
Je, leo nani kuondoka na alama tatu?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu mbashara kupitia AzamSports1HD.
#NBCPL #Azamtvsport | Posted on 01/Mar/2025 14:47:06



