Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League leo Jumatano
Saa 10:00 jioni, Kengold watakuwa dimba la nyumbani Sokoine wakiwakaribisha Mashujaa FC kutoka Kigoma.
Ni wachimba dhahabu ama wazee wa mapigo na mwendo nani kuondoka na alama tatu?
Mchezo huu utaruka mbashara AzamSports1HD.
#NBCPL #Azamtvsport | Posted on 05/Mar/2025 15:29:14



