Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League leo Ijumaa
Saa 10:00 jioni, Tabora United, watakuwa dimba la CCM Kirumba wakicheza na JKT Tanzania.
Saa 12:15 jioni, Kagera Sugar watakuwa dimba la Kaitaba wakiwaalika Pamba Jiji. Hii ni derby ya Kanda ya Ziwa.
Saa 2:30 usiku, Dodoma Jiji kukipiga na Coastal Union.
Katika msimamo Dodoma Jiji wapo nafasi ya nane wakiwa na alama 26, Coastal Union wapo nafasi ya tisa na alama 24.
Je, ni Dodoma ama Coastal nani kuongeza mtaji wa alama na kuhama nafasi?
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports1HD.
#NBCPL #Azamtvsports | Posted on 07/Mar/2025 13:00:48



