Yvonne Cherrie Instagram – Wanaitwa Kibondo Green Farm @kibondogreenfarm, ni wakulima na wasambazaji wa parachichi aina ya HASS. Parachcichi hili limezoeleka kuuzwa nje ya nchi tu lakini kwasasa limeingia sokoni Dar es salaam kutoka shambani Kibondo Kigoma. Na uzuri ni kwamba unaweza kulihifadhi kwa wiki mbili bila kuharibika.
Deliverry ipo popote ulipo kwa bei nafuu 19,000/= tu kwa box zima kama hili langu.
Wapigie 0765 628 429 | Posted on 18/Mar/2025 22:38:28



