Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – LEO Singida BS itakuwa inazindua uwanja wake mpya Airtel Stadium, katika kusindikiza uzinduzi huu watacheza mechi ya kirafiki na wananchi Yanga SC.

Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara AzamSports1HD.

#SingidaBS #YangaSC | Posted on 24/Mar/2025 11:08:33

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie