Yvonne Cherrie Instagram – KIWASHEE MAPEMA
Saa 6:30 usiku kuamkia kesho Taifa Stars watakuwa dimbani dhidi ya Morocco kufuzu Kombe la Dunia 2026!
Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa anakipiga na Bigman huku mabingwa watetezi Yanga SC akiwakaribisha Songea United.
LALIGA, FC Barcelona watakuwa nyumbani Camp Nou wakiwakaribisha Osasuna, katika mechi ya mzunguko wa kwanza Osasuna akiwa nyumbani alimpasua Barc chuma nne kwa moja.
Je, Hans Flick na vijana wake watalipa kisasi ama kuchapika tena?
Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama michezo hii.
#Wikiyamoto #FCBarcelona #SimbaSC #YangaSC #RealMadrid | Posted on 25/Mar/2025 21:09:21


