Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – NBC Premier League leo Ijumaa

Saa 8:00 mchana, Tabora United watakuwa nyumbani uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakiwakaribisha Dodoma Jiji.

Saa 10:15 jioni, Pamba Jiji watakuwa dimba la nyumbani CCM Kirumba wakiwaalika Wananchi Yanga SC.

Je, Wananchi watachukua alama tatu na kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo ama watakwaa kisiki kwa TP Lindanda?

Michezo hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

#NBCPL #Azamtvsports | Posted on 28/Feb/2025 10:57:10

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie