Yvonne Cherrie Instagram – KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
LEO, saa 10:00 jioni mnyama, SIMBA SC atakuwa nyumbani dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha CS SFAXIEN kutoka Tunisia, mechi Kundi A.
Mechi hii itapigwa saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mechi hii.
#CAFCC #SimbaSC #Cssfaxien | Posted on 15/Dec/2024 14:47:30



