Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – Asanteni sana wateja wangu na mashabiki wa Adelinaisack kwa kunifanya kuwa Mshindi wa Tuzo za WISAC kipengele cha OUTSTANDING HAIRDRESSER Mwaka jana

je? Unaisi nani anastali kupokea kijicha changu @adelinaisack
Endelea kupendekeza majina ya wanaostahili kuwania tuzo za WISAC katika vipengele husika kwa pag ya @mwafrikaasilia na kisha tukutane tarehe 29 Novemba, 2024 mubashara kupitia @sinemazetuhd

@mwafrikaasilia @monalisatz
#wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi | Posted on 11/Nov/2024 00:37:33

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie