Yvonne Cherrie Instagram – Tuzo ya “Nyota Chipukizi Bora” katika tuzo za WISAC inamtambua binti mwenye kipaji kinachoibuka katika michezo, sanaa, au utamaduni, ambaye ameonyesha umahiri, ujuzi, na kujituma kwa kiwango cha juu. Kipengele hiki kinatambua vijana wa kike wanaong’ara sio tu kwa ubora wao kwenye taaluma zao, bali pia kwa kuwahamasisha wengine kupitia shauku, ustahimilivu, na ubunifu wao. Kuwatambua nyota hawa chipukizi ni kuwaunga mkono katika safari zao za ukuaji na kuwahimiza kuleta athari chanya katika jamii zao.
Pendekeza jina la binti huyu.
@mwafrikaasilia
#wisacawards2024 #kazikazi #mwanamkenanusu | Posted on 09/Nov/2024 14:27:08


