Yvonne Cherrie Instagram – Pumzika kwa amani mama yetu GRACE MAPUNDA. Tulikupenda sana ila Mungu wetu amekupenda zaidi. Hakika Tasnia imepata pigo kubwa, Kipaji kingine Kikubwa kimetangulia mbele za haki. Pole sana kwa ndugu, jamaa, marafiki, wasanii na Familia ya HUBA kwa pigo hili kubwa.
Sisi tu mavumbi, na mavumbini tutarejea. | Posted on 02/Nov/2024 11:35:24



