Pumzika kwa amani mama yetu GRACE MAPUNDA. Tulikupenda sana ila Mungu wetu amekupenda zaidi. Hakika Tasnia imepata pigo kubwa, Kipaji kingine Kikubwa kimetangulia mbele za haki. Pole sana kwa ndugu, jamaa, marafiki, wasanii na Familia ya HUBA kwa pigo hili kubwa. Sisi tu mavumbi, na mavumbini tutarejea.
Chukua nafasi hii kumpendekeza mwanamke anayefanya SANAA ZA UONI / UCHONGAJI na SANAA ZINGINE ZA MIKONO unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MAKE UP ARTIST mwanamke unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Kutana na mshindi wa Tuzo za WISAC 2023 Kipengele cha OUTSTANDING COMEDIAN.Nani atashinda Tuzo hii Novemba 29? Endelea kupendekeza mwanamke unaeamini anastahili kuwania na kushinda Tuzo hii. @mwafrikaasilia @gladness_kifaluka @sinemazetuhd @azamtvburudani @azamtvtz #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MBUNIFU WA MAPAMBO YA NDANI unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MWOKAJI WA KEKI/MIKATE unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MPISHI / MFANYA BIASHARA WA CHAKULA unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MPAMBAJI WA SHEREHE unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MC / MSHEREHESHAJI unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Huyu ndiye mshindi wa WISAC 2023 kwenye Kipengele cha OUTSTANDING YOUNG STAR @mai__zumo nani atanyakua Tuzo hiyo mwaka huu? Tukutane Novemba 29 kupitia @sinemazetuhd @mwafrikaasilia
Chukua nafasi hii kumpendekeza KIONGOZI MAHIRI WA CHOMBO CHA HABARI unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MPIGA PICHA MNATO(STILL) JONGEFU (VIDEO) unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MWANDISHI WA HABARI / MHARIRI WA HABARI unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MTANGAZAJI WA REDIO unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MTANGAZAJI WA TELEVISHENI unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MWANAMITINDO / VIDEO VIXEN unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MBUNIFU WA MAVAZI mwanamke unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Chukua nafasi hii kumpendekeza MSUSI / KINYOZI / MTAALAM WA NYWELE mwanamke unayeamini anastahili kabisa kuwania tuzo hii na usisahau kumtag ili tuone kazi zake. Mwisho wa kupendekeza ni tarehe 10 Novemba, 2024. @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
Leo, ndio siku ya kuanza kupendekeza majina ya wanawake mahiri katika Vipengele mbalimbali vinavyoshindaniwa katika Tuzo za WOMEN IN SPORTS ARTS AND CULTURE ( WISAC )2024. Kaa tayari kumpendekeza mwanamke unayeamini anastahili kushinda Tuzo hii kwenye post ya KIPENGELE kinachomhusu na si Kipengele tofauti na kazi yake. Kila la kheri! @mwafrikaasilia #wisacawards2024 #mwanamkenanusu #kazikazi
VIPENGELE vingine vinavyoshindaniwa kwenye Tuzo za WISAC 2024 Outstanding HAIRDRESSER Outstanding FASHION DESIGNER Outstanding MODEL Outstanding woman in VISUAL ART AND HANDICRAFTS Outstanding MAKEUP ARTIST Kesho, tarehe 01 Novemba majina ya kuwania Tuzo hizi yataanza kupendekezwa kupitia @mwafrikaasilia @sinemazetuhd @azamtvtz @azamtvburudani Kaa tayari! #kazikazi #wisacawards2024 #mwanamkenanusu
Jennifer Kyaka ODAMA ni mshindi wa mwaka jana wa Tuzo za WISAC kipengele cha OUTSTANDING LEADER IN FILM amezalisha (produce) na kusimamia kazi nyingi za Filamu kwa miaka mingi katika kiwanda cha filamu Tanzania. Nani atashinda Tuzo hiyo tarehe 29 Novemba, 2024? Wisac Awards 2024 #mwanamkenanusu #kazikazi @mwafrikaasilia
VIPENGELE vingine vinavyoshindaniwa kwenye Tuzo za WISAC 2024 ni Outstanding MC Outstanding Woman in Event Decorations Outstanding Interior Designer Outstanding Female Baker Outstanding Female Caterer WISAC Awards 2024 #mwanamkenanusu #Kazikazi @mwafrikaasilia @sinemazetuhd
VIPENGELE vingine vinavyoshindaniwa ni Outstanding Leader in Music Outstanding Gospel Singer Outstanding Woman in music Outstanding Dancer Outstanding DJ WISAC Awards 2024 #mwanamkenanusu #kazikazi @mwafrikaasilia @sinemazetuhd
Baadhi ya VIPENGELE vinavyoshindaniwa kwenye Tuzo za WISAC 2024 Outstanding Leader in Media Outstanding Tv Presenter Outstanding Radio Presenter Outstanding Photographer Outstanding Journalist Wisac 2024 #mwanamkenanusu #kazikazi @mwafrikaasilia @sinemazetuhd