Yvonne Cherrie Instagram – Leo, ndio siku ya kuanza kupendekeza majina ya wanawake mahiri katika Vipengele mbalimbali vinavyoshindaniwa katika Tuzo za WOMEN IN SPORTS ARTS AND CULTURE ( WISAC )2024. Kaa tayari kumpendekeza mwanamke unayeamini anastahili kushinda Tuzo hii kwenye post ya KIPENGELE kinachomhusu na si Kipengele tofauti na kazi yake.
Kila la kheri!
@mwafrikaasilia
#wisacawards2024
#mwanamkenanusu
#kazikazi | Posted on 01/Nov/2024 11:57:17



