Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie Instagram – Jennifer Kyaka ODAMA ni mshindi wa mwaka jana wa Tuzo za WISAC kipengele cha OUTSTANDING LEADER IN FILM amezalisha (produce) na kusimamia kazi nyingi za Filamu kwa miaka mingi katika kiwanda cha filamu Tanzania.

Nani atashinda Tuzo hiyo tarehe 29 Novemba, 2024?

Wisac Awards 2024
#mwanamkenanusu
#kazikazi

@mwafrikaasilia | Posted on 31/Oct/2024 12:14:43

Yvonne Cherrie
Yvonne Cherrie

Check out the latest gallery of Yvonne Cherrie