Aunt Ezekiel

Aunt Ezekiel Instagram – Msaada jaman Kesho 27.11 ni Bday ya Chibaba…..Sasa Nikasema nimuulize Nono bday yako Unataka tukufanyie Nini!!!
Nono:Sitaki kitu tukae tuu hapahapa Nyumbani
Me :Hutaki party!
Nono:hapana Sitaki Mama
Me:Na zawadi je unataka nini!
Nono:Nataka Gari kama Da Cookie ila iwe kubwa kama Range ya Baba!
Hapa nilipo Nimezima😅
.
Hata kama zawadi ni magari jaman 😅😅
Haya Naomba Mwenye kuuza Car Toys kama Range
Jaman ila iwe kubwa kubwa kwelikweli!😆🙏
Happy Bday in Advance Roho ya Mama🥰
@heisnoman | Posted on 26/Nov/2024 14:42:14

Aunt Ezekiel
Aunt Ezekiel

Check out the latest gallery of Aunt Ezekiel