Hamchelewi kusema bonge akideka hapendezi! Nimepatikana by honeeeeeeny❤️❤️❤️ @_kusah_ Eti kati yangu na yake Nani kapatikana!!!😋
Uliposhika Kwenye Shingo Chini Ni Moyo Ooh Beib Utaniua 😊❤️🫶 #NIMEPATIKANA @auntyezekiel ❤️
BINTI ZANGU❤️
Msaada jaman Kesho 27.11 ni Bday ya Chibaba…..Sasa Nikasema nimuulize Nono bday yako Unataka tukufanyie Nini!!! Nono:Sitaki kitu tukae tuu hapahapa Nyumbani Me :Hutaki party! Nono:hapana Sitaki Mama Me:Na zawadi je unataka nini! Nono:Nataka Gari kama Da Cookie ila iwe kubwa kama Range ya Baba! Hapa nilipo Nimezima😅 . Hata kama zawadi ni magari jaman 😅😅 Haya Naomba Mwenye kuuza Car Toys kama Range Jaman ila iwe kubwa kubwa kwelikweli!😆🙏 Happy Bday in Advance Roho ya Mama🥰 @heisnoman
WALE WANAOULIZA WATOTO WANAWEZA KUTUMIA BIDHAA ZETU! JIBU NI YES! SABUNI YA MURUA WANATUMIA WATOTO NA WAKUBWA SABUNI NI 10,000/= ORGANI OIL 30,000/= CALL NO 0752300068
SIJUI NADATE NA X WA NANI BUT KIUKWELI U ARE X IS MY EVERYTHING!😋🙈 Baba Lao😋❤️ #blesssunday❤️
Mtoto akiwa na Umri gani Uwa unaEnjoy zaidi! For Me akiwa anajifunza kuongea pale Huku kunakoendelea Aaaah maneno yanazidi😅 Hekaheka Za Kaka Nono……🥰 Happy Bday In Advance Roho ya Mama❤️ @heisnoman
ACHANA NA UPARA UGALI NA HAYO MAHARAGE! ANGALIA NGOZI! MURUA PRODUCT NDIO PEKEE INAWEZA KUKUACHA NA NGOZI YENYE RANGI MOJA! CALL NOW 0752300068
ANAITWA MKALI WA KUBARUZAAAA @chido_point @chido_point WACHECK FASTAAAA MM NIKO DUKANI KAMA KAWAIDA JAMAN😋 CALL 0752300068
ANGALIA NA SIKILIZA KWA MAKINI! UWIIII AM SO HAPPY JAMAN🥰 NIKIONA MTEJA WANGU ANAKUWA VIZURI NAFURAHI MNO!🥰 HAKA KASET NI MORTOOOOOO CALL NOW 0752300068
African Queen Chieif…..🥰 It was best bday party ever😋 Cc @dorochocolate1
Thank God hadi nw Sio Padogo…..🥰 NIMEPATIKANA by @_kusah_ Link kwa Bio yake😇 Ila hadi nw Sijajua aliepatikana kati yangu na yy!🥲
Mtu mzima mm…..Nimepatikana🙌
USIJE UKATAFUTA CHUMA ULETE KUMBE AKILI HUNA PYEEEEE SISI NDIO WALEWALEEEE….. MICHEZO YA MAANA WAKUITWA MA WII! KAPOKEA MZIGO WAKE! MTAG KAMA UMEMJUA MWAMBIE AACHE KULILIA LAKI TAJIRI🤣 UNATAKA MCHEZO AKILI TIMAMU UNAZO!!! CALL NOW 0761333899 Au 255679999136
Hakikisha Unatunza Ngozi yako kwa Product ya MURUA Juu hadi Chini uwe na Rangi moja Mwili mzima! Call us 0752300068
ROHO❤️
HAPPY NEW AGE TO ME! NIMEPATIKANA🫄🙈 Cc @_kusah_❤️
Maskini na ❤️….. Tajiri na Malizake Cookie an Nono🥰 #blessed
KIJUSO AGAIN….CHUMA ULETE UILETE WW WATU WANAPOKEA MAPESAAAA YAO 😋 MICHEZO YETU NI PRAAAAAAAAIT AKILI TIMAMU MUHIMU! CALL NO 0761333899 KAMA UKUHITAJI UANZAO SOON 11,000/= KWA JINA WATU MIA KUPOKEA 1ML! CALL 0761333899
MAUA WANGU MM😭😭😭😭
MAMA MURUA MAMA COOKIE MAMA NONO MALIZIA WW!!!😋
MURUA Herbal soap & Face cream Hizi product mbili zinatumika kama silaa ya haraka kwa chunusi za mara kwa mara na makovu yake. Murua soap: • Inatakatisha ngozi na kuifanya kuwa na muonekano wa rangi moja na safi • Inakausha chunusi/ vipele • Inatoa matango tango • Inaondoa makovu ya chunusi • Inakausha mafuta usoni Price: 10,000/ Murua Face Cream: • Inatakatisha ngozi • Inasafisha weusi chini ya macho • Inang’arisha ngozi • Inafuta madoa na makovu usoni Price: 35,000/ 📞0752300068
Morning…..MURUA Herbal soap & Face cream Hizi product mbili zinatumika kama silaa ya haraka kwa chunusi za mara kwa mara na makovu yake. Murua soap: • Inatakatisha ngozi na kuifanya kuwa na muonekano wa rangi moja na safi • Inakausha chunusi/ vipele • Inatoa matango tango • Inaondoa makovu ya chunusi • Inakausha mafuta usoni Price: 10,000/ Murua Face Cream: • Inatakatisha ngozi • Inasafisha weusi chini ya macho • Inang’arisha ngozi • Inafuta madoa na makovu usoni Price: 35,000/ 📞0752300068
MURUA ORGANIC OIL….YANAFAIDA NYINGI SANA Baadhi ya faida hizo ni:- 🥰. Yanaondoa muwasho katika ngozi 🥰. Yanaondoa makovu 🥰. Yanang’arisha ngozi kwa njia ya asili 🥰. Yananyoosha Misuli 🥰. Yanaondoa weusi katika mwili 🥰. Yanaondoa weusi Mapajani 🥰. Yanaondoa harufu mbaya ya jasho mwilini 🥰. Yanalainisha kabisa miguu kwa watu wenye magaga 🥰. Yanaondoa fangasi katika sehemu za siri na katika ngozi 🥰. Yanalinda na kurutubisha ngozi kwa kiasi kikubwa 🥰. Yanaondoa michirizi katika ngozi Call Now Upate yako haraka 0752300068